Thursday, 18 February 2010

Blogger: User Profile: JUDITH MWAHELEJA

asante ndugu yangu mpendwa kwani naamini kukosolewa ndio mwanzo wa kujengwa na kuwabora zaidi na siyo kukata tamaa.
kwanza kabisa na penda kukushukuru kwakutembelea tovuti yangu najua kabisa ndani ya moyo wako imekugusa ndio maana ukweza kuchangia.
nashukuru sana nakuomba uzidi kutembelea na kuchangia
pia usisite kusifia panapo sifiwa sawa best!!!
asante sana.

2 comments:

  1. my dear hiyo welcome note yako irekebihe kwa kuwa haieleweki the english is very broken..... hakuna sentensi kama ......In this world ther is no many things is happening.......rekebisha mumy andika in this world there are no many things that are happening......i advise that u chech with the dictionary before u post something au tumia kiswahili tu mumy

    ReplyDelete
  2. advise that chech with dictionary!!!!)
    did u mean check?

    ReplyDelete