nifuraha sana kuona wapendanao waki graduate pamoja! mungu akaye nanyi awabariki na muweze kufunga pingu za maisha ati maye tupate picha nyingine nzuri mkiwa na mavazi ya shela na suti za harusi na baadae tupate picha ya familia pamoja na watoto wenu. Mungu awabariki sana
8 comments:

dada inapendeza kwa kweli awapepe kila kheri maishani mwao
thx for including us in your blog...it is really nice...
Asante sana dada yangu kwa maombi na baraka zako!!!tukopamoja,hope we'll make it if God wishes..!!together we can!!!by Michael
WOWWW! SUCH A NICE WORDS MY BROTHER
oooh Mike!
congrats bro...
mhhhh
3 days to go ......hayawi hayawi sasa yanaanza kuiva wapendanao soon watavalishana pete...can't wait
Post a Comment