Pls naomba nielekeze ni wapi naweza kuja kulitembelea duka lako linaonekana lina vitu vizuri sana
usijali mpenzi, liko sinza mapambano opposite na mapambano shule. ni pale pale nimebadilisha tu jina from CIN'JUCHE TO JEEDYGIRL CLASSIC COLLECTION na ile salon ya sinza nimehiamishia mbagala kwahiyo karibu kote kote SINZA NA MBAGALA
eh mwenzangu sikuwezi mana uko level nyingine kabisa. Big up
asante mpendwa najitahidi hivyo hivyo
4 comments:

Post a Comment